Tafuta yenye sifa zifuatazo :Mimi ni mwanafunzi ninae taka kwenda kusomea afya Ila Nina laki tatu na nusu nataka kununua laptop je ntajua vp kuwa laptop hiii ni originally wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
pitia huu uziMimi ni mwanafunzi ninae taka kwenda kusomea afya Ila Nina laki tatu na nusu nataka kununua laptop je ntajua vp kuwa laptop hiii ni originally wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Nina laki tatu na nusuKwa chuo cha afya huitaji kuangaika na laptop yenye specs kubwa; maana matumizi yake mainly ni kusoma slides(powerpoint), kutype assignments na kuangalia videos youtube labda.
Ushauri wangu nunua laptop yoyote dukani atleast hdd iwe 320Gb na Ram 2gb,ila sharti ununue mpya na yenye guarrantee, mtaani watakuibia tu.
Kwa 350 utapata laptop "refurbished laptop".Imetumika lakini in good condition yani ukiiona huwezi kujua kama imetumika,yenye guarrantee ya miezi 12 kariakoo. Endapo ukihitaji nnaweza kukuconnect na aliyeniuzia mimi
Kweli kabisa mkuuInatosha kupata laptop kwa matumizi yako, malimbukeni wengi huchoma hela nyingi kununua laptop zenye sifa hata wasizokuja kutumia.
Sio ulimbuk3ni mkuu kuna wengine wana matumizi makubwaa ya laptop ..Inatosha kupata laptop kwa matumizi yako, malimbukeni wengi huchoma hela nyingi kununua laptop zenye sifa hata wasizokuja kutumia.
Nafahamu hayo yote ndio maana nikasema kuna malimbukeni wanachoma hela nyingi kwa sifa(features) ambazo hawatazitumia sijui umeelewa nini sentesi hii.Sio ulimbuk3ni mkuu kuna wengine wana matumizi makubwaa ya laptop ..
Kwa watuu wa engineering kuna Autocard plus solid work ukiweka hizi mambo kama laptop ndogo inasumbua sana
Nokia ya Torch
Mimi ni mgeni ntaijua Veep kiongozi Kama hiiiu ni originalKwa chuo cha afya huitaji kuangaika na laptop yenye specs kubwa; maana matumizi yake mainly ni kusoma slides(powerpoint), kutype assignments na kuangalia videos youtube labda.
Ushauri wangu nunua laptop yoyote dukani atleast hdd iwe 320Gb na Ram 2gb,ila sharti ununue mpya na yenye guarrantee, mtaani watakuibia tu.
min laptop inakuaje kakalabda kama Min laptop utapataa Mpyaa.
ila tofautii na hapo utapataa used kwa elaa yako. .
Kwa kuwaa uko kozii za Afya angaliaa hard disc kuanziaa 350GB na sio lazima core i3 au i5 hata Intel inside inatishaa. .
Nokia ya Torch