Nitaibiwa....

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,424
...Ananichanganya kiunoni shanga,
marashi kama nipo peponi,
sauti ka' kinanda,
ya kumtoa chatu pangoni..
na nikitafuna karanga,
sitaki hata aende sokoni.
Nikiwa na pesa nitasifiwa kitambi,
beby me;i like that,
na kunipamba kwenye simu,
video snapchat,
kumbe hana mana hadi mangi,
anamwita switihati,
eti kisa anakesha jimu,
kutafuta siksipaki...
NITAIBIWA...
Nisije kuyavamia, yakaja kunitesa,
hawachelewagi kukimbia,
kuna wenzangu wanalia,
walidhani mapenzi pesa,
kwenye suruali vibamia...!
Hata nikimuhonga ferari,
hatoniona rijali,
wakati chumbani mi beki,
nikifunga moja tu chali,
atakamatwa na mangangari,
vijana machachari,
hawachagui sehemu ya vita,
uvunguni na juu ya dari...!
Akienda kula muhogo,
sijui kama atataka tena karoti yangu!
NITAIBIWAA,NITAIBIWAAA.....
 
Hii nyimbo ina balaa aseee....full kufundwa
 
Umeshaibiwa mwandiko wako unaonyesha ivyo
 
Mkuu kuwa makini na uadishi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…