Nitafungwa?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Ndugu zangu naombeni maombi yenu. Sijui Kama nita fungwa au vipi!

Siku zote hizi mama yangu anaumwa kikohozi kikavu na anadai kuwa kooni kwake kuko Kama kum jaa vumbi ivi

Sasa jana alizidiwa saana tulimpa dawa ya za kizungu ilishindikana saana. Tulivyofika usiku wa jana mimi na ma ujanja yangu nilifikiria nakachukua vidawa vyangu nilivyochanganya. Vimoja nilimpaka shingoni na vingine nikaunguza Aka sikia ile arufu akaanza kukooa saana mpaka kutoka damu

Alivyo enda hospitalini wakampima, wakasema alikuwa na uvimbe kohoni na ulipasuka. Walimuuliza Kama Kuna dawa ambazo ametumia Akasema mtoto wake alimtengezea dawa. Mama amerudi nyumbani akohoi Tena ila ana maumivu ya koo tu.

Sasa Leo asubuhi nimepigiwa simu kuwa Kuna watu ambao Wanataka kuonana na mimi kuniuliza kuhusiana na dawa ile ambayo nilimtengenezea mama.

Sasa sijui Kama ni sumu au Wana taka nini hawa maana wazungu mimi mmmm siwaamini kabisa
 
Mkuu h na h zinakupa shida sana?

Anyway, ulimpeleka mama kwenye vipimo vikubwa ama ni zahanati tu za kawaida?

Mpeleke mama hospitali kubwa waangalie tatizo.
 
Hakuna kufungwa hapo
 
Uvimbe gani wa koo, kuna vimbe za aina nyingi ndugu.....naona unatangaza dawa kijanja.
 
a,e,i,o,u mfano anakula, endelea, inachoma, ondoka na umekuja
ha,he,hi, ho, hu mfano haipo, hekari, hii, hoi, huyu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…