Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,184
- 6,543
Naunga mkono hoja kama mbwai iwe mbwai tu.kupitia jambo hili watajiongeza tuHeri ya Ekaristi takatifu.
Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.
advance nimesoma EGM,
nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!
sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.
nadai inklimenti mbili aises.
naziomba zote, ni kodi ya watanzania.
ova.
Huu Uandishi wako nikiri kuwa Waalimu mnachangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kufeli....Heri ya Ekaristi takatifu.
Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.
advance nimesoma EGM,
nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!
sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.
nadai inklimenti mbili aises.
naziomba zote, ni kodi ya watanzania.
ova.
2016/2017 hawakuongeza mshahara wala kupandisha madaraja kwa kigezo cha kipumbavu na kipropaganda cha uhakiki wa vyeti fake na watumishi hewa pia 2017/2018 itakuwa hivyo hivyo kwani mei mosi 2017 haikutajwa figure ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi zaidi ya maneno ya kizee na porojo eti ukihamishwa dai pesa yako ya uhamisho na watumishi wa umma waliohudhuria wakatoa meno na kushangilia bila kujua kilichowapeleka.Heri ya Ekaristi takatifu.
Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.
advance nimesoma EGM,
nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!
sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.
nadai inklimenti mbili aises.
naziomba zote, ni kodi ya watanzania.
ova.
Heri ya Ekaristi takatifu.