Nitafundia Mathematics kuanzia 31-07-2017

Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
3,136
6,429
Heri ya Ekaristi takatifu.

Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.

advance nimesoma EGM,

nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!

sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.

nadai inklimenti mbili aises.

naziomba zote, ni kodi ya watanzania.

ova.
 
Naunga mkono hoja kama mbwai iwe mbwai tu.kupitia jambo hili watajiongeza tu
 
sio sahihi kwa wewe mwalimu mwenye Ethics za ualimu kutoa Post kama hii humu JF kama wee ni Ninja ungeenda na Panga na Marungu mpaka ofisini kwa mwajiri wako.... ila nimeona umesema philosophy utakuwa umesomea Jordan university usiabishe chuo chako.. Jordan nakiheshimu sana
 
Heri ya Ekaristi takatifu.

Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.

advance nimesoma EGM,

nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!

sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.

nadai inklimenti mbili aises.

naziomba zote, ni kodi ya watanzania.

ova.
Huu Uandishi wako nikiri kuwa Waalimu mnachangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kufeli....

"Inkliment" ni kitu gani??
 
una uhakika kua jenista hua anatumia post za jf kazini? ama wewe ni wa temporally na headmaster yumo humu? ama unafundisha tuition na unauhakika wazazi wataona post yako
 
Heri ya Ekaristi takatifu.

Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.

advance nimesoma EGM,

nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!

sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.

nadai inklimenti mbili aises.

naziomba zote, ni kodi ya watanzania.

ova.
2016/2017 hawakuongeza mshahara wala kupandisha madaraja kwa kigezo cha kipumbavu na kipropaganda cha uhakiki wa vyeti fake na watumishi hewa pia 2017/2018 itakuwa hivyo hivyo kwani mei mosi 2017 haikutajwa figure ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi zaidi ya maneno ya kizee na porojo eti ukihamishwa dai pesa yako ya uhamisho na watumishi wa umma waliohudhuria wakatoa meno na kushangilia bila kujua kilichowapeleka.

2017/2018 itakuwa ni stori ile ile kwani bajeti haioneshi ni watumishi wangapi watapanda madaraja kwa mwaka tajwa wa fedha kikubwa watumishi hawajazingatiwa na serikali imeenda mbali zaidi kwa kurudi kwenye propaganda zake za kipumbavu za uhakiki kwa kusema kuwa julai 2017 kutakuwa na uhakiki wa watumishi unaomtaka mtumishi kuwa na salary slip, kitambulisho cha kazi pamoja na kitambulisho cha taifa(NIDA).
Maana ake nini?, kwamba ikifika julai yaani mwezi unaofata watumishi wa umma wasiongezwe mishahara kwa kigezo cha kipumbavu cha uhakiki.

KIUFUPI rais hana muda na watumishi zaidi ya kuwakandamiza na kuwatishia kuwatumbua.
 
Heri ya Ekaristi takatifu.

Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy.

advance nimesoma EGM,

nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4!

sasa tarehe 31 ikifika bila inklimenti tusilaumiane.

nadai inklimenti mbili aises.

naziomba zote, ni kodi ya watanzania.

ova.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom