Ndio hyo kozi ishaanza kutokaaa/kusomwa pale NIT kozi inaitwa air craft maintainanceHivi hiyo NIT ilishaanza rasmi kutoa kozi za urubani?
Kiukweli mkuu wetu wa chuo anakiongoza chuo hcho km anaongoza familiaa ykeKiukweli wanawaumiza sana wanafunzi,nadhani ndiccho chuo kichelewacho haswa katika kuwapatia wanafunzi hela za kujikimu. Ni jipu haswa.
Kuna siku wanafunzi walitaka kuleta zengwe,wakawaambia mpaka saa nane hela zenu zitakuwa tayari kwenye account zenu lakini cha kushangaza mpaka saa sita wanafunzi wote walikuwa tayari washapata hela.
sasa jiulize,walikuwa wanasubir shari liibuke ama walikuwa wanawapima wanafunzi?
Ipo haja ya BODI YA MIKOPO kufuatilia ugawaji wa fedha hizo punde tu baada ya kuzikabidhi kwa loan officers wa vyuo husika.
Angalau mkuu umeijuza dunia tabu tunayoipata apa Mabibo NITInasemekana kuwa wanafunzi was chuo cha taifa cha usafirishaji wamekua wakipata shida sana na mikopo yao ya elimu ya juu kutokana na mambo yafuatayo!
1. Ubovu wa ratiba za chuo hicho.
2. Uongozi usiokuwa na utendaji wa kuzingatia muda na uhitaji!Uhasibu.
3. Kupuuzwa kwa serikali ya wanafunzi na management ya chuo hicho.
4. Ufuatiliaji mbovu wa matatizo ya wanafunzi na kutosikilizwa kwa maoni ya wanafunzi.
HILI NI JIPU, WAPI WIZARA HUSIKA? TUMBUENI TAFADHALI
Kumbe kozi ya urubani inaitwa aircraft maintenance?!Ndio hyo kozi ishaanza kutokaaa/kusomwa pale NIT kozi inaitwa air craft maintainance. Ada Yake n shilling million 10.5.
Lkn serikali imeweka mikono yke zaid ya 75%.
Karibu sana ndugu
NdioKumbe kozi ya urubani inaitwa aircraft maintenance?!
Kwa hiyo mkuu marubani ndiyo uwa wanafanya maintenance ya ndege?Ndio
Hyo inajishughulisha zaid na maintainance ya ndege
Pale hapafundishwi kuendesha ndege Bali wanaandaliwa kufanya maintainance tyuKwa hiyo mkuu marubani ndiyo uwa wanafanya maintenance ya ndege?