Spare zipo available ila bei kubwa tofauti na Toyota, hata hivyo ukifunga unasahau!
Ulaji wa Mafuta utainjoi sana!
Nilipokuwa nahama toka Toyota kwenda Nissan watu walinitisha sana, mara spares adimu, mara gari zinasumbua etc; lakini kwa sasa sijui kama nitarudi Toyota, labda niwe nazo zote!