Gari zuri sana mkuu,limelipiwa charge zote?Wadau,
Nissan Terrano Regulus inauzwa, Imetoka 19/09/2012 Bandarini.
STAR FIRE 4WD PETROL
Make; Nissan
Model: Terrano Redulus
CC: 3,270
YOM; 1996
Transmission: A/T
Odometer:85,000Kms
Color; White
Fuel: Petrol
Drive: 4WD
Price; 16Mil (Neg)
Contacts; 0716 474 435
View attachment 65485View attachment 65486
View attachment 65487View attachment 65488
View attachment 65489View attachment 65490
View attachment 65491View attachment 65492
View attachment 65493
Duh,1996....duh....mkuu hiyo si unatakiwa uitupe dampo au.......
Maana kama mtoto sasa yupo....form one....thats why hata bei umegoma kutoa coz wajuaji humu wange anzakufuatilia depreciation value ya 15% per year.....
Ila usife moyo utawapata wadau...wanaohitaji vimeo coz thats TZ yetu.....tutafanya nini
Kwa uzoefu wangu mdogo wa hapa JF, watu wa aina yako hua sio wanunuaji.wajapani walicho kifanya ni kuweka seat cover mpya,kupaka rangi na kuweka tire mpya....kwisha habari...kwa MTZ anaona mali ya enga hiyo.....duh
Ahsante sana kaka kwa kumfahamisha huyu jamaa.Kwa uzoefu wangu mdogo wa hapa JF, watu wa aina yako hua sio wanunuaji.
Na zaidi hua wanakwazika kuona mwenzao ameweza kua na labda gari la kuuza wakati wao dhooful-hali.
Ushauri wangu kwao; jenga bifu na serikali iliyoko madarakani kwa kutokukuwezesha wewe kua na mali.
Ushauri wangu kwa wauzaji; msikate tamaa,
biashara ni huria so anaehitaji atanunua na kukagua kwa vigezo vyake.
Mkuu Shakir, bei haipungui? Mwisho ngapi?
nimependa ulivyo itangaza biashara yako!!hujaacha vijimaswali kwa anayeitaka!!Wadau,
Nissan Terrano Regulus inauzwa, Imetoka 19/09/2012 Bandarini.
STAR FIRE 4WD PETROL
Make; Nissan
Model: Terrano Regulus
CC: 3,270
YOM; 1996
Transmission: A/T
Odometer:85,000Kms
Color; White
Fuel: Petrol
Drive: 4WD
Price; 16Mil (Neg)
Contacts; 0716 474 435
View attachment 65485View attachment 65486
View attachment 65487View attachment 65488
View attachment 65489View attachment 65490
View attachment 65491View attachment 65492
View attachment 65493
Chini sana mkuu wangu,
Naiuza sababu natarajia kupata gari kama 3 wiki hii bila kutarajia so sintozimudu zote!!
Kwa uzoefu wangu mdogo wa hapa JF, watu wa aina yako hua sio wanunuaji.