Mimi nina Nadia 3s ipo kwenye hali nzuri, je cc ngapi
Iko vizuri kiasi gani mkuu? Mimi niko na Suzuki Vitara namba ni BHW Manual. Ukipenda tuwasiliane.
Biashara kweli matangazo, lakini matangazo basi yawe kamili ili kuokoa muda wa wateja wako watarajiwa.
Mimi nina Nadia 3s ipo kwenye hali nzuri, je cc ngapi
hahaaacc 4000 iyo ndo maana imemshinda!
Gari aina ya Nissan patrol inauzwa kwa MIllion 8, iko kwenye hali nzuri, au kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana.
Nitafute kwa 0763969066 kwa maongezi zaidi.