T tibej Member Joined Jan 19, 2016 Posts 18 Reaction score 26 Jun 6, 2016 #1 Make: Nissan Model: 2005 Mileage: 118,000 Color: grey Seat: 5 Door: 5 Cc: 1490 Price: 8.5 mil..maongez yapo Mahali inapatikana: Mbeya Ipo katika hali nzuri..muuzaji mmiliki wa gari. 0767121667
Make: Nissan Model: 2005 Mileage: 118,000 Color: grey Seat: 5 Door: 5 Cc: 1490 Price: 8.5 mil..maongez yapo Mahali inapatikana: Mbeya Ipo katika hali nzuri..muuzaji mmiliki wa gari. 0767121667
T T1986MCK JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 211 Reaction score 260 Jun 7, 2016 #2 Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza?
T tibej Member Joined Jan 19, 2016 Posts 18 Reaction score 26 Jun 7, 2016 Thread starter #3 Mugisha Mugisha said: Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza? Click to expand... Kuna mambo yamenitinga tu mkuu sina jinsi.
Mugisha Mugisha said: Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza? Click to expand... Kuna mambo yamenitinga tu mkuu sina jinsi.
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jun 7, 2016 #4 Mugisha Mugisha said: Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza? Click to expand... Gari mpya !!!!!!! unamaanisha huo muonekano wake au nini ????? (maana ukiangalia kilometa iliyotembea huwezi kusema gari ni mpya)
Mugisha Mugisha said: Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza? Click to expand... Gari mpya !!!!!!! unamaanisha huo muonekano wake au nini ????? (maana ukiangalia kilometa iliyotembea huwezi kusema gari ni mpya)