Dah kitu mannual,huo ndo ugonjwa wangu,i see gari kali sana,sema hela tuHabari wanajanvi wenzamgu nauza Nissan navara
Speed-220
Gear-6
4wd
Km-76253
4cylinder
Turbo
Na ni INTERCOLIN SYSTEM
location mwanza,
Sababu ya kuiuza tuna gari nyingine,, haijawi kuguswa engine wala kupata mzinga,
price 26 mil
Phone-0758275988
Kama uko interest call me,, kwa wale first year wanaopenda kuaribu biashara Za watu plz huku sio facebook, huku ni kwawatu wenye hekima zao, karibu
Dah kitu mannual,huo ndo ugonjwa wangu,i see gari kali sana,sema hela tu
umeona eeeeeh gari imetulia afu tangazo limekaa vizur.Dah kitu mannual,huo ndo ugonjwa wangu,i see gari kali sana,sema hela tu
IAya mambo ndo waga tunayapinga, mnaaribu biashara za watu
lukosi ya kwake alisema alishaipata kulekule landani, japo alitutuhumu watz kwamba tumemwibia navara yake.
lukosi ya kwake alisema alishaipata kulekule landani, japo alitutuhumu watz kwamba tumemwibia navara yake.
IAya mambo ndo waga tunayapinga, mnaaribu biashara za watu
Habari wanajanvi wenzamgu nauza Nissan navara
Year 2005
Speed-220
Gear-6
4wd
Km-76253
4cylinder
Turbo
Na ni INTERCOLIN SYSTEM,
Sababu ya kuiuza tuna gari nyingine,, haijawi kuguswa engine wala kupata mzinga,
price 26 mil
Phone-0758275988
Kama uko interest call me,, kwa wale first year wanaopenda kuaribu biashara Za watu plz huku sio facebook, huku ni kwawatu wenye hekima zao, karibu
poa nimekusoma mkuuItupie hapa kaka iuzike mapema https://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
maana inavozidi kukaa hapa mimi unantia midadi tu kaka, nsije nikaenda kuiba pesa buree!lol.:tonguez: