mickyMICKIZ Member Joined Aug 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 May 13, 2015 #1 Habari wakuu, Kwa anaeuza gari aina ni NISSAN MURANO iwe katika hali nzuri. Tuwasiliane 0769033641 nipo Dar
Habari wakuu, Kwa anaeuza gari aina ni NISSAN MURANO iwe katika hali nzuri. Tuwasiliane 0769033641 nipo Dar
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,950 Reaction score 132,285 May 13, 2015 #2 0715 591141 ipo, tuwasiliane unipe spec zinatakiwa na offer yako chief
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,950 Reaction score 132,285 May 13, 2015 #3 Nnayo nyeusi,#d , nikutumie kwa whatsap hyo gari
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,950 Reaction score 132,285 May 13, 2015 #4 mickyMICKIZ said: Habari wakuu...kwa anaeuza gari aina ni NISSAN MURANO iwe katika hali nzuri tuwasiliane 0769033641 nipo dar.. Click to expand... Ni ya mwaka 2005 na ina km 52000...nakutumia kwa whatsap sahv
mickyMICKIZ said: Habari wakuu...kwa anaeuza gari aina ni NISSAN MURANO iwe katika hali nzuri tuwasiliane 0769033641 nipo dar.. Click to expand... Ni ya mwaka 2005 na ina km 52000...nakutumia kwa whatsap sahv
Inkotanyi 94 JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,244 Reaction score 4,030 May 13, 2015 #5 unaweka no ya simu na hupokei. au ulitaka raba ukachanganya.
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 May 13, 2015 #6 Rwazi1 said: unaweka no ya simu na hupokei. au ulitaka raba ukachanganya. Click to expand... Hahahaha daah vuta subra Simu itakua kaiacha mbali kdogo
Rwazi1 said: unaweka no ya simu na hupokei. au ulitaka raba ukachanganya. Click to expand... Hahahaha daah vuta subra Simu itakua kaiacha mbali kdogo
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,950 Reaction score 132,285 May 13, 2015 #7 Rwazi1 said: unaweka no ya simu na hupokei. au ulitaka raba ukachanganya. Click to expand... Mm nmetoka kumpigia mbona na nimemtumia MURANO nliyokua nayo kwa whatsap! Mtumie gari yako kwa whatsap Ktk namba hiyo aliyoitoa
Rwazi1 said: unaweka no ya simu na hupokei. au ulitaka raba ukachanganya. Click to expand... Mm nmetoka kumpigia mbona na nimemtumia MURANO nliyokua nayo kwa whatsap! Mtumie gari yako kwa whatsap Ktk namba hiyo aliyoitoa
mickyMICKIZ Member Joined Aug 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 May 14, 2015 Thread starter #8 Wakuu samahani kuna ambao mlipiga simu sikuweza kupokea.. Tuwasiliane 0769033641
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,472 Reaction score 5,033 May 14, 2015 #9 Mimi nauza nissani patrol milango5 lipo safi mil saba0715378899
noel2512 Member Joined Feb 26, 2015 Posts 80 Reaction score 14 May 18, 2015 #10 Hello. Utapenda ya import kwa ajili yako na sio ya Japan bali kutoka UK. Ukiwa interested basi ni PM Mkuu..
Hello. Utapenda ya import kwa ajili yako na sio ya Japan bali kutoka UK. Ukiwa interested basi ni PM Mkuu..