ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Gari hiyo nauza kwa bei ya milioni 5.3,haidaiwi gari ipo upanga dar
Upo chini mkuu hii gari bado kabisa nitext WhatsApp 0765428633 tuyajenge
2002 na km ni 75000Ni ya mwaka gani, imetembea kilometres ngapi, engine cc ngapi? Tafadhari.
Cc 12902002 na km ni 75000
Poa njoo ucheki gari hii ipo vizuri sanaOk, nitakucheck kwa WhatsApp.
Gari ya brother hiyo mkuuOk, ni dalali au mwenye gari?
Karibu uchukue gari hii ye kabadili gari mkuuOk, nimekupata.