X trail zimeshaanza kuwa common...spea zinapatikana kirahisi haswa kama upo miji ile mikubwa ila bei ya spea zake ni ghali...
Japo watu wengi wanaziponda hizi gari kuwa ni kimeo....Im not sure about that...ila nichofahamu gari lolote ni matunzo...
Kuna mtu ana x trail namba B imesimama vizuri na kuna mwenye Noah namba D, ukiitazama utasikia kichefuchefu...
Hii ina maana ukiwa mtunzaji na kuzingatia huduma stahiki, hakuna gari baya.