Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Mkuu wewe ni Auto electrician?
 
Mkuu hapo kwenye 30000 na 50000 nafikiri oil isingekuwa biashara huku mitaani,by the way unatumia oil gani ya km 30000?
 
Fundi Chidi anakwambia ukibadili oil ya engine mara 3 ya 4 ndio unabadili oil ya gearbox tena.


Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa kila baada ya kilometre 10,000 unabadilisha transmission fluid. Ni ukichaa
Imagine.. people dont know kwamba gearbox inafanya kazi kwa njia ya friction (ambapo kupitia clutches ambazo ndo zina friction materials kwa ajili ya iu transfer power to wheels..sasa with time hizi frictional materials huenda zinaisha but zikiisha zile debris za frictional materials zitabaki kwenye mzunguko wa hydraulic so kama hydraulic haibadilishwi so frequent zile debris zitasidia kutengeneza friction between clutches surfaces na kusaida ku re enforce clutches ziweze kusafirisha power ya engine to wheels but uki replace tu fluid (transmission fluid) unaweza jikuta unaleta tatizo la transmission slippage unaangaaa gari unakanyaga mafuta haiendi...why transmission ina slip..na ndo maana manufacturer wanakuambia under normal driving conditions usibadilishe kabisa transmission fluid. But under extreme conditions hizi transmission fluid hu oxide kwa kuungizwa na joto kali matokeo yake density yake hushuka na kushindwa kutengeneza pressure ya kutosha kusukuma clutches au ku-hold friction(kwa gari za cvt) hivo kwa case hii inakubidi ubadili transfer fluid...na sio haya mambo fundi anakuambia badili gearbox oil(transmission fluid) kila ya service 3. HaTari sana..(na mtu akibadili anatia Lubex au unamsikia nimeweka transmission fluid ya Castrol mara Total unabaki una mshangaa kawekaje hizo fluid kwa gari ina taka T-iv, cvt fluid or Ws, DSG....

Mie kimeo changu nilibadili transmission fluid wakati kina km 110,000 sasa hivi kina km 230,000 (kinatumia CVT-TC) (by the way napenda sana gari yenye transmission ya CVT)
 
Itakuwa nissan hio bila shaka
 
Inabd kutembea na nyundo kwenye gari kwa ishu kama hizi
Mkuu nyundo utaitumia kama haujapata mshituko wa ajali na akili yako haija stuck!

Ugongwe ama uparamie mti ama daraja kisha gari ipinduke utaikumbuka nyundo sehemu ulikoiweka?

Hizi gari auto, zina tabia ya kujilock milango hasa unapopata ajali ya kugonga ama kugongwa, nadhani ni kwa ajili ya kishindo!

Waweza kuwa na nyundo kweli, lakini isikusaidie kuvunjia mlango uliojilock huku gari imeshika moto.
 
Bro umesema safi sanaa.
Watu kama nyie ndo tuna wahitaji humu.

Mi ndo gari yangu,Sijalala mpaka sasa hivi hapa tangu niione ile ilio waka moto.
Maana nimenunua na week 2 tu.
Na mkopo wenyewe una riba ndefu.

Yaani ni stupid things.
 
Unatokea dirishani
Kioo cha gari ni part ya ku enhance structural strength ya bodi ya gari hivo kukivunja hasa ukiwa upo ndani huwa ni shughuli kidogo...kina utaalamu wake wa (vioo vya gari vya milango na buti la nyuma ni tempered glasses hivo hakivunjiki kizembe kwa kukipiga hata kwa nyundo sometimes, na kioo cha mbele ni double Glass yenye gundi ndani yake) so kuna device maalumu huwa inatakiwa itumike kukigonga kioo kwenye angle fulan then kinashuka chenyewe (hii ni kwa tempered glass) but cha mbele na chenyewe nika design yake yakutoka tofauti vingine vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…