Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 508
- 572
Tangazo limekaa poa, wasubiri waje wazee wa daladala[/QUOTEpoa nawasubiri gari ipo
Nashukuru kwa ushauri mzuri, bei inapungua mkuuAsaante kwa taarifa mkuu
Kwanza jitathmini kwenye Bei kwa Nissan.
Gari ipo vizuri inamaana unaiuza kwa sababu fulani hivi.
Ila akifika mtu 10m,muuzie haraka sana
Usijali ndugu ata mbuyu ulianza kama mchicha utamiliki tu gar siku mojaUna planning nzuri japo mimi namiliki baiskeli tu lkn naamini watakuja
kiongozi imeshauzwaumeshauza?