Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.tuliinunua kwa matumizi ya familia baadae tukaona tuisajili kama daladala.lengo la kuuza ni kwamba tunahitaji kuagiza nissan civilian hvyo tumefikiria kuuza hii ili ipatikane hela ya kuongezea.Ni ni number D.Ni petrol,auto ,6 cylinders.hakuna udalali ukihitaji nichek 0712484858.nipo dar.
Mkuu,
Katika bandiko lako umepatia kila kitu kwa asilimia 90... Ila umeacha kitu cha msingi sana ambacho ni Bei ya hiyo gari. Ungeweka tu hapo ili kila mtu ajipime kwa ubavu. Mimi gari imenivutia.
Mkuu,
Katika bandiko lako umepatia kila kitu kwa asilimia 90... Ila umeacha kitu cha msingi sana ambacho ni Bei ya hiyo gari. Ungeweka tu hapo ili kila mtu ajipime kwa ubavu. Mimi gari imenivutia.