Nathan James
Member
- Apr 12, 2017
- 59
- 28
Mkuu kuna sensor mbili throatal and camshaft zitakuwa na shida hazifanyi kazi ipaswavyo. Ukizipima kwenye meter zikiwa chini ya 3.5 readings badilisha.
Pia angalia uwezo wa fuel pump na airfilter hivyo kama havipo vizuri gari itapoteza nguvu.
Kama vyote vipo poa basi compression inapotea na ushauri tumia oil engine zilizoandikwa 5w 20 na kundelea zinasaidia sana kuseal air compression na ni mahsusi kwa gari zenye zaidi ya 100,000km.
Kama hayo yote bado unapata shida, fungua gearbox kwenye sample kuna sensor mwambie fundi asafishe.
Kama. Hayo yote bado tatizo litakuwepo badilisha engine na gearbox kwa pamoja

Duuh muffler inahusiana vipi na nguvu ya gari kupungua?
Na uzi ufungwe kabisa.. Wengine wapite kusoma tuuMkuu kuna sensor mbili throatal and camshaft zitakuwa na shida hazifanyi kazi ipaswavyo. Ukizipima kwenye meter zikiwa chini ya 3.5 readings badilisha.
Pia angalia uwezo wa fuel pump na airfilter hivyo kama havipo vizuri gari itapoteza nguvu.
Kama vyote vipo poa basi compression inapotea na ushauri tumia oil engine zilizoandikwa 5w 20 na kundelea zinasaidia sana kuseal air compression na ni mahsusi kwa gari zenye zaidi ya 100,000km.
Kama hayo yote bado unapata shida, fungua gearbox kwenye sample kuna sensor mwambie fundi asafishe.
Kama. Hayo yote bado tatizo litakuwepo badilisha engine na gearbox kwa pamoja
Had the same issue with Xtrail. Kuna swith/sensor ipo kwe gearbox ubavuni ndo ikifa gari inakuwa haina nguvu kupanda mlima. Mafundi wa Arusha karibu wote ninaowajua walizingua, nikasafiri hadi dar ndo ikapatiwa ufumbuzi.
Em elezea vzr zaidi location ya garage mkuuHalafu bahati Mbaya na mm si mwenyeji Dar, Ila nilielekezwa nikaenda. Karibu na shekilango kuna garadge pale. Jamaa anaitwa Nywele.