mkazamjomba
Member
- Jan 27, 2012
- 61
- 21
kwanza kabisa maisha nikusaidiana,pili leo utakuwa nacho kesho hauna na ww cku ukiwa hauna nani atakusaidia ?,tatu usiangalie watu wanamchukuliaje huyo mama, ila mweleze tuu kiustaarabu kuwa ukitaka kitu niambie mimi kwanza ili ww ndo umruhusu huyo housegirl,alafu usipende ugomvi na majirani!
kwani sababu ni hiyo ni kwa nini haniambii mimi msichana aliyeondoka walijenga urafiki na aliiba sahani akaficha kwake matokeo hakumpa wakakosana ninaogopa mazoea ya kuhamisha vitu ndani
Pole, ninavyoona hiyo tabia yako si nzuri kutowajulia hali majirani hao ndio ndugu zako wa karibu usingoje misiba na ugonjwa, jirani wamejenga ukaribu na msichana kwasababu wewe unajifungia na kuwa bize. Na umejuaje kwamba huyu jirani hana mahusiano mazuri na wengine? au hisia zako tu? Na kama una mahusiano mazuri na msichana wa kazi angekwambia kila kitu. Ushauri wangu weka mahusiano mazuri na jirani, badirika, yakikukuta ya ugonjwa na msiba utajua gharama yake..jirani yangu ana tabia ngumu sana mie huwa nina tabia moja kwa vile ni mfanyakazi ninapokuwa siendi kazini sina muda wakwenda nyumba za watu ila kama msiba au ugonjwa nashiriki vizura maana mara nyingi nakuwa bize sana na majukumu kama mama sasa anachonikera anangoja nikiondoka tu ana kazi ya kuomba vitu msichana wangu wa kazijuzi asubuhi nilichelewa kuondoka nilipitia hospital hakujua kaja kuomba sukari nikatoka ndani alijipurukusha nikamwambia kwa nini shida zako huniambii mimi ninayetafuta oh samahani niliishiwa sukari nikamwambia hujaanza leo sasa kama una shida sitaki umwambie huyu binti ameninua ana sema nina ringa anamsema hivi huyo mamako akiacha kazi si atakoma nashangaa maneno yametoka wapi na majirani wote hawana nae uhusiano mzuri ila nahisi msichana wangu ana kahusiano ka siri ametengeneza urafiki fulani ni nifanyeje? nishaurini kwa busara zenuKWA
women affairs.....sijui kwanini mnazoeana kihivi