Terrano si ndio hio hio pathfinder kwa marekani mkuu, anyway navyojua ni gari nzuri yenye nguvu ila inaleta presha sana kama mtumiaji ukiwa huna vyanzo vizuri vya mapato.Kuna ambazo zinauzika lakini generation ya pathfinder Terrano na X-trail kuna shida
Mzee wa Brevis yupo hapa.. [emoji38][emoji38]Ununue hilo jini ili iweje?
Basi haya majibizano yakianza. hapa ndiyo pahala JF inafanya siku yangu kwenda Vizuri...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unaujua uchumi Wa huyu anaeitaka Gari hio?
daah umenitamanisha sana mkuu new model sijui zitakuwajee!? maisha hayaTerrano si ndio hio hio pathfinder kwa marekani mkuu, anyway navyojua ni gari nzuri yenye nguvu ila inaleta presha sana kama mtumiaji ukiwa huna vyanzo vizuri vya mapato.
Early 2007 tulikuwa na terrano wakati ziko kwenye peak apa kibongo bongo ila spear zake ndio ilikuwa mtihani mkubwa hasa suspension zake zilitutesa mno. Hii gari parts nyingi ni electronic controlled so ilikuwa na issues za kukausha battery at times ikikaa idle. Mashine yetu ilikuwa ni V6 r3m it was thirsty ile mbaya hivyo nategemea pia hilo toleo la pathfinder litakuwa na Engine ya V6 ikiwa na zaidi ya 3000cc, hivyo mtoa mada ajiandae na gharama za kutia wese mara kwa mara.
Uzuri ni kwamba gari hio gari inabembeleza mno ukiwa ndani, starehe yake haielezeki aisee...Ni nzuri sana kuiendesha na ina nafasi ya kutosha ndani.
Hivyo kwa mtoa mada jitathmini pumzi yako kwa hio pathfinder ikiwa ni maandalizi mazuri ya running and maintainance costs. Otherwise unaweza ukafanya tu choice nyengine mkuu klins
Kaka vipi land rover 2012 hizi new model ,una ushauri gani hapo? Nataka kuagiza.Haina tofauti na NISSAN NAVARA kwenye spares(zinaingiliana)....spares zipo ila bei ni juu kidogo ukilinganisha gari ambazo wengi wamezoea kama rav4,corolla
Discovery 4, nunua low mileage. High maintenance vehicle hio jiandae.Kaka vipi land rover 2012 hizi new model ,una ushauri gani hapo? Nataka kuagiza.
Asante sana kaka.Discovery 4, nunua low mileage. High maintenance vehicle hio jiandae.
ana sheliCc4500 pettol
Embu sema uliiuza sh ngapi?Gari nzuri sana. Sisi tunanunua magari kwa mazoea ndio maana watu wamekariri gari ni Toyota. Nissan ni imara sana isipokua vipuri vyake bei ni juu kidogo, lakini pamoja nakuwa vipuri bei juu vingi ni halisia.
Inasumbua kuuza si kwakuwa si imara ila ni kwasababu tu walio wengi wetu tunaaamini gari Toyota hadi kipuri cha buku unapata. Nimewahi kutumia sana pathfinder version ya nyuma sikuwahi pata tatizo lolote la engine au umeme zaidi ya miaka 5 hadi nilipouza.