Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Ni kweli mkuu though unatakiwa uangalie fani ambayo moyo wako inapenda na kwanini umeichagua hiyo ili ukienda kumwomba mtu ushauri unakuwa unaonekana una malengo flani kisha si mbaya ukaangalia na fani zingine ambazo zinaonekana ni deal machoni pa watu kwani unaweza ukapata ushauri mzuri kiasi kwamba ukaona uchaguzi wako wa awali ni batili lakini kikubwa lazima hizo fani zingine ulizoshauriwa uwe na uwezo nazo. Nikiangalia ECA na EGM hapo kama ni kusoma ni fani yoyote kwani zote zinashabiana kikubwa O-level uwe umesoma nini na ulikuwa kichwa, kwa vyovyote wewe umesoma Commerce na Book keeping O level na ukafaulu vizuri na ndio maana unaumiza kichwa uchukue nini kati ya EGM na ECA. Kama ni mie ningechukua EGM ili nipanue wigo wangu wa uelewa kwa kuongezea Economics huku masomo ya Commerce na Book keeping nikiwa nimeyasoma O-level ambayo yatakuja kunisaidia wakati nataka ku-join chuo. Nimeshaona watu walisoma PCB leo hii ni wahasibu sasa kwa maana hiyo hata wewe utakaosoma EGM nadhani unaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua fani including hizo za uhasibu kwani tayari O-level tayari ulishayagusa na kiukweli kabisa kwa fani nyingi ni masomo ya O level yanabeba kwani kama ulikuwa kilaza O leve ila ukafaulu kwa bahati na A level kama uli-balance comb ukapata zali ukaingia chuo usomaji huwa ni msuli sana tofauti na mtu ambae alikuwa bright o levelApo jodoki nmekuxoma kumbe cha kuzingatia ni kukomalia ktabu fan yeyote inakutoa
eca=expected chief accountant
Takwimu niliyoipata ni hí apa
tatol comments 9
ECA-3
EGM-6
Nafiki xaxa nimepata jbu
Wana jf naombeni mnishauri kuhus iz comb mbil ni ip haswa ina market uko mbele.me nimemliza 4m4 mwaka jana 2012 na nmefauru vzur ila xa kuchagua comb ndo kumenichanganya kat ya EGM na ECA celew ip ni baab kubwa na kwasababu na sifa za kuweza kuchukua komb yeyote naomben mnishaur ip ni komb nzur zaid na ina market zaid uko mbele
Kama unataka kusomea mambo ya accounting/finance/business, ECA ndiyo chaguo sahihi kabisa.
Kama unataka mambo ya uchumi, EGM imetulia na ina wigo mpana kwenye options za kuchagua courses.
Ila kikubwa, kasome combination unayoipenda na unahisi utaimudu.
Hakuna combination rahisi kati ya hizo.
eca=expected chief accountant
sorry,, hivi mtu liye soma EGM anaweza kusomea software engineering ya pale Udom na anatakiwa awe na vigezo gani
Nawasilisha,,,,,,,,
Ulichonifurahisha ni kuniita kijana wakati hunifahamu.Kwan mtu wa egm hawezi kusoma accountanting na finance au na biashara...na eca hasomi uchumi!! Embu fikiria zaid kijana!!!
Kama uko vizuri kwenye maths, na ukipata shule nzuri pia, basi soma EGM, otherwise soma ECA. kazi ni mipango ya Mungu, kwanza piga shule kijana..Wana jf naombeni mnishauri kuhus iz comb mbil ni ip haswa ina market uko mbele.me nimemliza 4m4 mwaka jana 2012 na nmefauru vzur ila xa kuchagua comb ndo kumenichanganya kat ya EGM na ECA celew ip ni baab kubwa na kwasababu na sifa za kuweza kuchukua komb yeyote naomben mnishaur ip ni komb nzur zaid na ina market zaid uko mbele
Asanteni sana kwa ushauri wenu.but cjamuelewa vzur tutaweza alposema kuwa hata ukichukua HKL unaweza ukaja chukua course za a/c from what i know anayeruhusiwa kuchukua koz izo ni wale waliosoma either pure math or BAM.which means wanaoruhusiwa ni wale waliosoma ECA,EGM,HGE, na kombi zote za sayans xababu wote wanasoma bam