Gwakisa George
Member
- May 26, 2013
- 67
- 14
ya EGM KWENYE KUCHAGUA VYUO UTAKUWA NA WIGO MPANA,NDO MAANA NAMWAMBIA ASEME CHUO ANAPENDA ASOME VITU GAN?
Chuo either baf ya ardhi or statistic in economy
Xa mbona mnaanza kunipa vrefu badala ya ushaur
nan kakwambia archtechture&Quantity surveyor hazina dili!! juxt ushaur 2 jembee! pamojaaaa!
Kifupi fani yoyote ni deal kama utaamua kupambana na changamoto zilizopo katika hiyo fani ikiwa sambamba na kuji-upgrade wakati unatekeleza majukumu yako, unajua mdau wengi wanachagua fani kwa kuangalia mafanikio ya watu flani waliotangulia kutokana na fani walizosoma bila kuangalia njia walizopita