Nishaurini kabla sijala hasara

Story za kutungwa zinajuliKana kAbisa yaani jana umekuta request na Uka accept na baada Ya siku mbili umeingia kwenye gallery.

SWALI:umeona jana request na hizo siku mbili ni zipi?
Mkuu nkuombe radhi kwa izo errors..
Story sio ya kutunga,
tafuta mwingine.....Ni nyege tu zakutuma after that majuto
Sina nyege mkuu,Ni vile Tu nawaza tucost twang tusije enda bure buree
 
Utakosana na ndugu yako kwasababu ya mwanamke
Hata kama walishaachana,aliwahi kuwa wa ndugu yako

Tafuta mwingine . . .inasemekana tupo wengi kuliko nyinyi
So na khs promis nijisahaulishe tu
 

Haya mkubwa, Ila kuna watu wapo rumande kwa kosa la kukutwa na bangi, vilevile jaribu kutulia kusoma nilikua namjibu nini aliyeniuliza swali au kuni quote. Hakuna katazo au mipaka ya kuchangia topiki, unaweza kuiangalia kwa pande tofauti tofauti.
 
Hata sijui kama hii ni true story as its too far from reality hata hutuli wakati wa utunzi wako basi...
 
Vijana wenzio huko europe na USA wanaomba ushauri wa namna ya kutengeneza pesa,wewe unaomba ushauri wa mambo ya kijinga.
 
Hata sijui kama hii ni true story as its too far from reality hata hutuli wakati wa utunzi wako basi...
Story n kweli,wala hakuna chembe ya utunzi hapo.. Nikifkia maamuzi ya kuonana nae,bas taleta mrejesho.Ila nkiona nmpotezee,bas na story itaishia hapa..
 
Vijana wenzio huko europe na USA wanaomba ushauri wa namna ya kutengeneza pesa,wewe unaomba ushauri wa mambo ya kijinga.
Hapa sio USA wala UK,hapa Ni Maguland,tuache na ujinga wetu..
 
Story n kweli,wala hakuna chembe ya utunzi hapo.. Nikifkia maamuzi ya kuonana nae,bas taleta mrejesho.Ila nkiona nmpotezee,bas na story itaishia hapa..
if so, kama huyo dada angekua ni wako na rafiki yako amefanya hivyo unavyo fikiria unadhani ungechukuliaje? jibu utakalo lipata basi ndio sahihi...
 
Mtoa mada hapa umenichanganya
"

Sasa Jana ikabidi niingie Facebuk,nakuta request,moja inajina km lake,naikomfirm hapo hapo inaingia mesej.nagundua kilichompelekea anijue,Ni majina ya mwisho, bas mtoto WA mjini nazama fasta kwny gallery yke,japo sio mpenzi WA kupost picha,lakini hizo zilizopo zikatosha kunipa real image yake.Yuko sawa aiseee

Sikutaka kumkurupukia,basi bda ya siku km mbl nkampigia."
 
Mh mara jana nikaingia facebook. Aya ya pili baada ya siku mbili. Hapo inaonyesha unadanganya hadhira
 
Story za kutungwa zinajuliKana kAbisa yaani jana umekuta request na Uka accept na baada Ya siku mbili umeingia kwenye gallery.

SWALI:umeona jana request na hizo siku mbili ni zipi?
mkuu umeona eeeh mana nimesoma Mara 2 nkaishia kucheka tuu
 
Mkuu,ayo matumiz ya 'jana,juzi,bda ya cku mbl,mida flani nk' yasikuchanganye.. Uwa nayatumia kwa current issues.. Sorry sikufafanua awali
 
if so, kama huyo dada angekua ni wako na rafiki yako amefanya hivyo unavyo fikiria unadhani ungechukuliaje? jibu utakalo lipata basi ndio sahihi...
Ngoja nitafute definion ya kuachana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…