Nisaidieni

Huyo DR. ni wakichina (Feki) haiwezekani aseme huna tatizo wakati we mkono haunyoki yaani tatizo linaonekana bila kipimo chochote. cheki na hospitali za ukweli ulienda phamacy nini?
 

Tatizo lako mkuu ni vigumu sana kulitolea ufumbuzi kwa njia hii ya kuvuta imagination ya jinsi mkono wako ulivyo sasa, coz ukisema mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki bado kuna mambo mengi ya kujiuliza ili kujua kwa kuanzia, kwa hiyo ni daktari yule utakayeweza kuonana nae ana kwa ana tu ndie anaweza kupata primary diagnosis nzuri, so suruhisho lilopo ni kwenda hospitali kama ulivyoshauriwa na wakuu wengine na iwe hospitali ya uhakika.
 

Mweshimiwa vipimo vyote ulivyotaja sio kwa ajili ya mkono huo ila vinasaidia kama una infection tatizo lako laweza kuwa nerve so nenda kwa mtaalamu wa mifupa atakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…