Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Dec 26, 2011 #1 Guyz' nimeflash simu yangu nokia 6270 kabla sijaflash ilikuwa inaplay video (stream) na ilikuwa ina2mia applications za internet kama operamini. Uc browser, bolt n.k ila sasa inagoma' NAOMBA MSAADA WENU.
Guyz' nimeflash simu yangu nokia 6270 kabla sijaflash ilikuwa inaplay video (stream) na ilikuwa ina2mia applications za internet kama operamini. Uc browser, bolt n.k ila sasa inagoma' NAOMBA MSAADA WENU.
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,707 Reaction score 1,417 Jan 5, 2012 #2 jaribu kurestore factory setting