Tatizo Mtoto akikua ndio baba wasiojitambua kama huyo wanakumbuka kuwa walishawahi kuzaa,Aende tu ustawi wa jamii huyo baba akakumbushwe majukumu yake anayojisahaulisha.Duh pole sana mamie.......achana nae huyo ni wazi kua alikua anakutumia tu na hukujua dhamira yake
Pambana tu wewe kama wewe usiwe tegemezi
Mungu Mkubwa Mtoto atakua na life litaenda!!!!
Duh pole sana mamie.......achana nae huyo ni wazi kua alikua anakutumia tu na hukujua dhamira yake
Pambana tu wewe kama wewe usiwe tegemezi
Mungu Mkubwa Mtoto atakua na life litaenda!!!!
nimezaa na mwanaume matarajio ye2 ilikuwa 2funge ndoa lkn haikuwa ridhki amefnga ndoa na m2 mwingne pacpo kunijulisha kwa sasa mtoto ana miaka 3 hvyo anahtaji ma2nzo je nifanye nn kwan kila niwaclianapo na mzazi mwenzangu hat cm hapokei ni mfanyakazi,wapendwa nahtaji ushauri wenu
nawewe utazaaje mtoto ambae huna uwezo wa kumtunza?ulishafikiria kwa mfano mjamaa akirip?akili zingine mbaya mbofumbofu tu
nawewe utazaaje mtoto ambae huna uwezo wa kumtunza?ulishafikiria kwa mfano mjamaa akirip?akili zingine mbaya mbofumbofu tu
Pole sana,polisi kuna dawati la jinsia,wanawake na wtt,nenda hapo au ustawi wa jamii utapata msaada