Hahahaha Hahahaha daah hatar fayaaaAisee Dunia simama nishuke mpaka kunyoana mavuzi watu wanagombania
shida ya hapa jukwaani ukitaka msaada unakutana na za uso kwanza kabla ya unachotaka.Hiyo sio changamoto, ni chamtoto
Hatari sanaAisee Dunia simama nishuke mpaka kunyoana mavuzi watu wanagombania
ushauri wako pleasAisee Dunia simama nishuke mpaka kunyoana mavuzi watu wanagombania
Ndio tabu ya ndoa za watoto,Jaribu kuwa mwanaume na baba wa nyumba hata dakika moja jombaa!! Unadiriki kutuadithia ukinyoa mavuzi mkeo anakasirika kisa haujaomba ruhusa au kumshirikisha kwenye hilo suala,then unaita hili suala ni changamoto.Kwa ujinga huu wa kumfanya mwanamke akupangie mambo madogo kama haya ndio baadaye mnakuja kupangiwa hadi muda wa kurudi kwako,kusaidia nani katika ndugu zako na hata lipi la kufanya katika maisha.Wewe ni kiongozi na baba wa nyumba.Kuwa baba acha utoto na hayo mapenz ya kiuanafunzi!!
mkuu ungejikita kunishauri ingependeza maana huyu mke ana mambo ya ajabu sana ye anataka aninyoe bt yeye hataki nimnyoe hivo inapotokea nimenyoa bila yeye kujua hua anakasirika sana, nami hufanya hivo ili aone anachofanya kwangu si kizuri.Jaribu kuwa mwanaume na baba wa nyumba hata dakika moja jombaa!! Unadiriki kutuadithia ukinyoa mavuzi mkeo anakasirika kisa haujaomba ruhusa au kumshirikisha kwenye hilo suala,then unaita hili suala ni changamoto.Kwa ujinga huu wa kumfanya mwanamke akupangie mambo madogo kama haya ndio baadaye mnakuja kupangiwa hadi muda wa kurudi kwako,kusaidia nani katika ndugu zako na hata lipi la kufanya katika maisha.Wewe ni kiongozi na baba wa nyumba.Kuwa baba acha utoto na hayo mapenz ya kiuanafunzi!!
Simamia unachoamini,huo ndio ushauri wangu!!!mkuu ungejikita kunishauri ingependeza maana huyu mke ana mambo ya ajabu sana ye anataka aninyoe bt yeye hataki nimnyoe hivo inapotokea nimenyoa bila yeye kujua hua anakasirika sana, nami hufanya hivo ili aone anachofanya kwangu si kizuri.
dawa zakulevya zinapatikana wapi mkuu? bt tuache masihara nahitaj ushauri kwa jambo hili.Muwekee dawa za kulevya akilewa, fyekelea mbali
mkuu mi nimemwambia kila mtu anyoe zake bt hataki sasa hapa ndo natatizika kabisaSimamia unachoamini,huo ndio ushauri wangu!!!
kuhusu hili mi sina tatizo bt tatizo yeye hataki mi ninyoe mwenyewe na hapa ndo panaleta ugomviMwache ajinyoe