Habari wanaJF
Niliidownload VerbAce Pro 8 version 2.2.0.0 na kuitumia kwa wiki moja ikiwa ni trial version. Kwangu ilikuwa nzuri sana kwani ilikuwa inanisahisishia katika masomo yangu ya lugha. Baada ya muda wake kwisha nimekuwa napata taabu sana kufuatilia maana ya maneno mbalimbali. Nimejaribu kuitafuta kwa torrents sikufanikiwa na hivyo ninaiforward case hii kwenu wataalam.
Natanguliza shukran kwa mtaalam anayeweza kunisaidia niwe na software hii kwenye pc yangu.

Nina uwezo wa kupata crack mkuu. Sasa sijui utachangia ofisi kidogo? kwasababu kuna time consuming.
Mchango ni Sh. ngapi? nipo tayari kuchangia kiasi kilicho ndani ya uwezo wangu. .....
Angalizo: Natumia windows 8 na avast internet security. Kwa uzoefu wangu cracked soft mara nyingi huwa zinashishindwa kuelewana na w8 pia avast.
Kama itafanyakazi vizuri nitashukuru.