Bonyeza (hold) button iliyojuu ya ile ya kukatia na ushikirie mpaka usikie mlio, ita jina unalotaka kupiga simu au command yoyote unayotaka kuifanya kisha utasikia mlio tena ikifuatiwa na sauti ya uthibitisho wa voice command uliyoitoa. Kama unatumia ear phone basi hold sahemu ya kupokelea kisha sema command unayotaka.