Wakuu kuna mdogo wangu aliniomba nimsaidie kuapply chuo education ya science nikamsaidia,
Juzi nikafungua nikakuta hajachaguliwa first round so nikatakiwa kufanya second round application, cha ajabu katika kufanya second round application nimekutana na zilezile kozi nilizoapply 1st round kwenye vyuo vile vile.
Niliapply
-Bsc. With education DUCE nimeikuta tena second round(maanaake haikujaa first round)
Bsc. With education UDOM nayo vilevile nimeikuta hii second round.
Vigezo anavyo maana points anazo 4.5 na amesoma CBG
Sasa najiuliza hawa watu wana maana gani?
Natafakari kuwaibukia kesho kwenye ofisi zao nikiwa na ile list ya first round maana niliiprint ili wanipe sababu zinazoeleweka nisije nikaziapply tena nikaumia!
mkuu hiyo Bachelor of arts with education DUCE haipo second round angalia vizurii acha wenge
ipo na nimeijaza mda huu.mkuu hiyo Bachelor of arts with education DUCE haipo second round angalia vizurii acha wenge
screen shot pigaJaman student profile mbona haiprint au cjakamilisha kujaza!!!!!
kuprint ni lazima sana kwani?Jaman student profile mbona haiprint au cjakamilisha kujaza!!!!!
kuprint ni lazima sana kwani?
Wakuu kuna mdogo wangu aliniomba nimsaidie kuapply chuo education ya science nikamsaidia, Juzi nikafungua nikakuta hajachaguliwa first round so nikatakiwa kufanya second round application, cha ajabu katika kufanya second round application nimekutana na zilezile kozi nilizoapply 1st round kwenye vyuo vile vile. Niliapply -Bsc. With education DUCE nimeikuta tena second round(maanaake haikujaa first round) Bsc. With education UDOM nayo vilevile nimeikuta hii second round. Vigezo anavyo maana points anazo 4.5 na amesoma CBG Sasa najiuliza hawa watu wana maana gani? Natafakari kuwaibukia kesho kwenye ofisi zao nikiwa na ile list ya first round maana niliiprint ili wanipe sababu zinazoeleweka nisije nikaziapply tena nikaumia!