nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?

Pole kwa yaliyokukuta, na hali unayoipitia sasa. Wengi kwa namna moja au nyingine wamepitia hali kama unayoipitia wewe. Jitahidi kuikubali hali hiyo ingawa ni vigumu, nasi kwa pamoja tunakuombea upate faraja za Muumba. Jaribu kuufanyia kazi ushauri wa mimi49 hapo juu unaweza kukusaidia.
Kwa mara nyingine tena, pole sana.
pole sana,Mungu ndie awezae na apangae yote mshukuru kwa yote maana ana mipango na wew,jipe moyo na kama wew ni mkristo au mwislam bas jikite kumjua mungu zaidi na pendelea kujisomea story mbalimbali za kufurahisha,jichanganye michezoni utasahau na utaona ni kawaida
Pole sana Mkuu usipende kukaa pekee yako pekee yako, lakini kila unapomkumbuka na kujisikia kulia hakuna ubaya kulia maana kulia inasaidia kuondoa donge lako la kumpoteza mpenzi wako. Wanasema kulia ni therapy ya aina yake ambayo inasaidia sana katika kumaliza usongo uliokuwa nao na hatimaye ukubali kwamba kazi ya Mungu haina makosa. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi na akupe nguvu na faraja ili uweze kusonga mbele na maisha yako ya kila siku~AMEN. Pole sana Mkuu.