NIPO USINGIZINI WADAU NIFUMBUENI MACHO

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Kuna Demu nilimuomba urafiki FB alipojibu Reguest nikachukua namba yake ya simu bila kumuomba nikamchek msg kawaida kajibu then nikampiga.

Sasa leo nimemtongoza akaomba nimtumie oicha zangu messenger nimemtumia na mimi nikamuomba zake kanitumia pia ni mtoto mzur ktk macho yangu niko tayari hata kwenda kutoa posa kwao.

Sasa nimeona nimwambie ukweli wote ameniambia nisijali tupo pamoja bado nipo njia panda sijamuelewa kwa kweli anamaanisha nini kusema (nisijali tupo pamoja).

Pia nimemuomba tuonane tukae sehemu tuongee tufahamiane tuyajenge kaniambia sawa akipata chance atanijulisha sijui ni mwaka gani aisee nipo njia panda pia.

Ushauri wenu wakubwa na wenye uzoefu wa haya mambo je uyu bint ameshanikubali au bado anatafakari

Pia amenijibu ivyo baada ya kumbembeleza anikubali aniamini maneno ninayo mwambia ni kutoka ndani ya moyo wangu 🖓

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
kwani ulikuwa na lengo gan ktk kumtafuta uyo dada...hukutarajia hayo basi ulitaraj nini...unahisi kukubaliwa kirahisi na ungewekewa ugumu ungesema anaringa ana dharau...hahaaaaaaa fanya tu uendelee na uchunguzi wako hasa wa ana kwa ana pengine single mother nk nk nk
 
Nawe ulimtumia picha yako? Kuna kila dalili umeshamkosa huyo
 
Ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…