Nipo njia panda naomba msaada kwa hili

Hebu mnunulie simu banaa! Halafu baada ya wiki mbili akwambie imedumbukia kwenye maji! Mnarudi kulekule kwenye simu mbovu. Inaonyesha umependa sana kaka kwamba bila yeye hakuna maisha?! Nachukia sana mtu anapokubali kuchezewa akili kizembe hivyo. Kwani unashindwa nini kumpa live huyo binti?! Agggggrrrrrrrrrh.
 


Nashkuru Cantalisia ntayafanyia kazi.
 
Naweza Kumleta huyu wa pili huku fasta si tatizo, nahisi ana feeling za kweli maana niliona dalili tangu Bongo ila sikuwa na hakika kwani nisingemchumbia huyu anaenisumbua. Lakini hata hivyo nitaamua baadae nikikasoma ushauri wenu Wakuu. Thanks sana.
 
Mkuu acha distance love wewe utapata pressure bure mi pia niko ughaibuni stuation yako inafanana na yangu tu,achana naye huyo wewe deal na huyo wa pili anayekujali.
 
Tatizo mimi Napenda Waswahili wenzangu, Wazungu mm Hawanivutii Kabisa.
Bado yuko chuo na Pesa si sababu, anapata kama kawaida.

Huyu wa pili si mwizi kwani alionesha dalilizote tangu niko bongo, ila sikuzitilia maanani na yeye ndo nilimjua mwanzo kuliko huyu niliemchumbia.
Na kibaya zaidi nishapeleka maombi ya Visa ubalozi kwa ajili ya kumleta huku.
 



Tatizo mimi Napenda Waswahili wenzangu, Wazungu mm Hawanivutii Kabisa.
Bado yuko chuo na Pesa si sababu, anapata kama kawaida.

Huyu wa pili si mwizi kwani alionesha dalilizote tangu niko bongo, ila sikuzitilia maanani na yeye ndo nilimjua mwanzo kuliko huyu niliemchumbia.
Na kibaya zaidi nishapeleka maombi ya Visa ubalozi kwa ajili ya kumleta huku.
 
Piga chini mwenyewe nilikuwa naye kama huyo nikaona ananipotezea time hana future,penda ulipopendwa,waambie hata kama kujaribiwa syo hvyo,hata muonja nyama huonja kipande syo unasema unaonja huku unamaliza nyama nzima.

Kama ulikuwepo prakatatumba , Mwanzo nilihisi ananijaribu na nilishamwambia mapema alipoanza tu mchezo huu ila naona anendelea.
 


Kikukweli Huyu msichana nampenda mpaka basi na yeye anajua hilo nafkiri ndo maana anafanya anavyotaka. Sijawahi kumkaripia hata siku moja ili nisimuudhi. kuna mambo mengine si vizuri kuyasema ila kila anachotaka alikuwa najitahidi kumpatia. Nilipokua Bongo Kiufupi ni kuwa Mshahara wangu alikuwa na shea yake na ukifika mwisho wa mwezi lazima nimpatie, mbali matumizi mengine yanojitokeza katikati ya mwezi.
Simu hio anotumia nilimnunulia na hapa ishanunuliwa nyengine nilikuwa nafkiria kumtumia.
 
fais buku keshatangaza dau mjibu basi
kama uko USA wabongo wazuri wapo huko huna haja ya kuhangaika
leave the two girls in bongo wote hawaeleweki
 
Hawa wadada nina wasiwasi wote wanataka makaratasi; lol.
Unaweza ukawapeleka US ukajikuta umewapelekea wapopo.

Mfano huyo wa pili alikuwa anasubili nini kukwambia anakupenda.
Au umekuwa handsome baada ya kwenda US?


Tafuta msichana wa ki Tz huko huko uoe hachana na hawa wanaotaka visa?
fais buku keshatangaza dau mjibu basi
kama uko USA wabongo wazuri wapo huko huna haja ya kuhangaika
leave the two girls in bongo wote hawaeleweki
 
inaonekana ninyi nyote amjapendana,kwani naona unataka kuamia kwa huyo dada mwingine kwa sababu kuwa mpenzi wako wa mwanzo aeleweki,lakini hicho sio kigezo inabidi mkutane na inabidi wawe wazazi wa pande zote mbili muyaongee kama itashindika ndyo ufikilie kwa mwanamke mwingine
 

Nakubaliana na wewe Mkuu, Maana wakati wa kuchumbia sio mm niliepeleka ujumbe kuna watu wazima ndio waloniwakilisha. Hii ni Idea nzuri sana Nitawajulisha wazee niwasikilize wanasemaje. Thanks again Mkuu.
 
kusoma hujui hata picha huoni?mbona unalazimisha upendwe bro?hao wote hawakupendiii!kama unaweza kuongea mpk na mamake kuwa cm yk mbovu kwa nn asikutumie sms kwa cm ya mamake kukujulisha mpk upge ww?wamama wengne wanakula dili km kawa ss we ukpgiwa na maza unaona unapendwa!wanakukung'on'ga hao,penye nia pana njia kaka amka ww..huyo mwingne baada ya kusikia unamchumba ndo anakupenda alikuwa wap kukuonyesha hyo mapnz?
 
Huyu mdada hayuko tayari kwasababu dada zetu wanavyopenda wachumba wanaoishi usa kama yuko chuo kila mtu atajua ana mchumba usa na huwa wanaonyesha sms na simu wanazopiga na wanazopigiwa, huyu wako ni tatizo tafuta mbongo hukohuko
 
Huyu mdada hayuko tayari kwasababu dada zetu wanavyopenda wachumba wanaoishi usa kama yuko chuo kila mtu atajua ana mchumba usa na huwa wanaonyesha sms na simu wanazopiga na wanazopigiwa, huyu wako ni tatizo tafuta m bongo hukohuko
 
Huyu mdada hayuko tayari kwasababu dada zetu wanavyopenda wachumba wanaoishi usa kama yuko chuo kila mtu atajua ana mchumba usa na huwa wanaonyesha sms na simu wanazopiga na wanazopigiwa, huyu wako ni tatizo tafuta m bongo hukohuko

Nakushkuru Mkuu kwa ushauri Utafanyiwa kazi, Na nawashkuru pia wote mlonishauri na nitatafakari kwa kina kuona nafanya maamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…