BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Utawafanya watu watoke kabla mpira hujaisha wakakamate simu za wake zao na wale wote wenye mitoko jpili ushawakost
Washkaji zake 2Pac walisokota majivu ya Marehemu rafiki yao wakayavuta kama bhangi ili kupata busara alizokuwa nazo step son wa mzee Shakur. Badilisha jina mzee!Kama upo kuangalia mpira muda huu, saa nne na dakika 51 usiku. Tarehe 12/12/2018
Basi fahamu kuwa mke wako anachat namimi muda huu. Nimemuuliza mme wako yupo wapi, anasema yupo kuangalia mpira. Kwahyo muda huu tunachat story za mahaba, ananiambia twende tukaoge.
Bado sijamtafuna, ndio tunaelekea huko. Tumepanga appointment Jumapili, kwahyo kama leo upo kuangalia mpira na mke wako akasema ana kikao cha wamama Jumapili basi ujue ndio anakuja kuonana namimi.
12/12/2018, 10:51 pm
Dah.!Kama upo kuangalia mpira muda huu, saa nne na dakika 51 usiku. Tarehe 12/12/2018