didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,101
- 3,565
Nikikupata Anna naahid kuacha kabsaHiyo ya pili ya kuacha zinaa ndio yenyewe. Tena uache uzinzi kabisa
Nitumie picha ya hiyo kitu nione kama umepona kabisa.Nikikupata Anna naahid kuacha kabsa
Habarini wakuu.
Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka kweny mihangaiko sasahivi. Nawashauri mimi nimetumia gharama kubwa sana tangu niugue kama ifuatavyo:
1. Dinner na pisi- 40,000
2. Bolt to home-5000
3. Bolt from ghetto to her home na ya kigentle baad ya kumla-15,000
4. Kupima na dawa siku ya kwanza-32,000
5. Siku nilizojiuguza ambazo sijaenda kazini ni 3- 75,000
6. Nmepoteza dili la nje la 110,000
7. Dawa ya fungus na after shave- 15,000
8. Mahusiano na Mungu baad ya dhambi- can't be quantified.
Wakuu hizo gharama kama nisingezini nisingeingia hzo gharama zote. Vijana tunashindwa kuendelea ngono kimojawapo pamoja na sababu nyinginezo. Nitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.

kitu ipi hiyo?Nitumie picha ya hiyo kitu nione kama umepona kabisa.
We differHata laki 5 haijafika ndio unaita hasara..
Very.. na hiyo si hasara, kwakua ulijipeleka mwenyewe. Na utamu ukausikiaWe differ
Kwan wewe nje umeilewaje...Hilo dili ya nnje la 110,000 ni dollars au kwa pesa za madafu mkuu?
Sawa mkuuKwan wewe nje umeilewaje...
Maana kaanza kutaja ofisi kisha kataja nje, probably nje ya ofisi
kwenda bhn uchaw tu. Nitafute zang hela weekend navuta dem mwingne sema sitoacha ndomMimi najua huo ugonjwa hujapona,kama unabisha nenda kafanye PCR test uone.
Naona nimekuuliza ugonjwa gani husemi.
SUBIRI TUONE.kwenda bhn uchaw tu. Nitafute zang hela weekend navuta dem mwingne sema sitoacha ndom
Jamaa hajui hapo ugonjwa umepoa tu,asubiri.wewe si ndio uliambiwa una warts na tiba haipo? wewe tulia mpaka hiyo naniliu ikatike ndio utaelewa.