Pamoja sana mkuu! Dogo kachezea "golden chance" ambazo ni nadra sana kutokea! Mm pia nilishailazia damu opportunity kama hiyo,mpaka kesho naijutia! Cha kujifariji WAZURI ni wengi japo hawawezi kulingana na YULE!
Yaan umekaa nae siti moja lakn ukashindwa hata kumwambia "my eyes (not me) have fallen in love with u, they wish to c u again n again tena, not only here on sundays"! Mwenyewe angekupa namba zake bila hata kumuomba (kama ni muelewa).
Tukupe maujanja gani sasa ww mtoto wa kichagga (domo zege) wakati kila siku unasali nae hapohapo na unaijua hadi familia yake? Kama unataka kuoa kweli si umtume mshenga tu akamalize kila kitu, maana kumtongoza umfaham tabia zake kabla hutaki! Na ukimchunguza sasa unaweza ukaghaili cuz hakuna aliyekamilika! Tuma mshenga tu!
Siku mkionana lia mbele yake! akiuliza mwambie amekunyima raha tangu ulipomjua.Akiuliza raha gani mwambie ulionyeshwa kwenye maono kuwa ye ndo atakuwa ubavu wako.jitahidi kubomoa zege mdomoni!.....Teh teh teh! kweli mapenzi yana run dunia baada ya fedha!
@tyata umenifanya nisitumie akili nyingi, kwa mtu kama huyu, tunasubiri episode nyingine jumapili ijayo. ila chakumsaidia leo 1. nielekeze kanisa unaloabudu nije kukusaidia, 2. soma kitabu cha wimbo uliobora kitakusaidia kukukomaza.
Second Fiddle
Yah man, hua inaumaga sana ukii potezea such an opportunity mwishoni ukiwa home unaanza kujiona ulivyo bw*ge sanaaa sumtyms ukute huyo mtoto alikua anasubiri wewe ndio umuanze. Anyway kukosa ndio mwanzo wa kujua.....i have never regreted dating that chick and almost like 80% alikua na sifa zote nazozitaka bila kusahau ni mchagga kama mm..
Its like Mungu alinishushia mazee dah.