Nipeni ujanja tafadhali

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,107
Reaction score
38,730
Kuna dada nilvutiwa nae vibaya ni mwezi wa tatu sasa namuona hakosagi Kanisani,leo bwana nimekaa nae siti moja kama si imani ibada ingevurugika kwa kweli.

Sasa wakati wa kutoka nikamugalia weee nikaona haitoshi nikamfuatia nyuma kama nusu kama akapanda bodoboda ikabidi nirudi,nilivyomuona yawezakua amenizidi kauwezo maana simu alio nayo jinsi alivyovaa na mwonekano wake mi nimdogo kwake kiuwezo.

Lakini kwavile alivyo mnyenyekevu kanisani hawezi kuringa niliazimia kuto kumtongoza mdada yoyote lakini kwa huyu nimekwama,yaani hata mngemuona wenyewe mngekubali sauti umbile rangi daaaah. Yaweza kua huyu ndio MUNGU kaniandalia.

Wenzangu huwa mnaanzaje katika hali hio kumtokea, halafu anaonyesha ni graduate mi niliishia la saba hebu nipeni ujanja wandugu.
 
Kijana wewe unaenda Kanisani kucheza au kutongoza au kufanya ibadaa ??? fear god !!
 
Kwakweli.. Dah!?

Sasa ulivyokuwa wamfuatilia kwa nyuma ulikuwa unawaza nin kichwani.?
 
Mfate mwambie very simple ani
 
jumapili humu kunachangamkaga hadi raha....ngoja niweke mto wa sofa vizuri niegamie kupitia pitia midondosho ya leo humu....karibuni
 
Chama Cha Wanaume Marijali (CHACHAWAMA) kinakupa siku tatu uwe umeshamtongoza huyo dada kwa kutumia mbinu tulizo kuelekeza na mkufunzi wetu..otherwise tutashikilia leseni yako ya UANAUME kwa muda usiojulikana....
 
Hakuna mtiririko maalum wa mbinu au maneno ya kumtongoza na kumvutia mwanamke. Soma nyakati, ongea nae kulingana na nyakati au mazingira mliyopo kwa muda ule. Jiamini ongea nae, kukubaliwa au kukataliwa yote ni majibu tu.
 
Aliyekuambia nyumbani kwa Bwana kuna vitu vibaya nani ?? Tehe.... you'll find all the Byuriful totoz in church, dhambi ni pale unapowachezea na kuacha.....nlishawahi chukua namba ya beib flan hvi tukiwa church...ilitokea tu tumekaa bench moja, mtoto alivyokua makini nikajikuta na enjoy mahubiri na wala sikusinzia wakat wa ibada. HALELUYAH kwa sana tu, kupata maujiko..huyo mtoto niko nae mpaka leo. Acha udomo zege...kama hukuchukua mawasiliano ndio ntolee hyo, it might never come again. Ukiwa na nia njema it will last otherwise utajizolea laana tu church.
 
Mface them mwelez yanayokusibu but...?wacha nkupe ushauri mzuri tengeneza mazingra ya kumzoea na kila ufanyalo kwake jipe points salam 10% kukujibu 5% kumzoea hata kwa kifup 5% na if possibe kukupa namba 20%..! then hizo 60% anonymous
 
Kuwa mtu wa imani, funga na kuomba juu yake, Mungu atakupa jibu na njia sahihi. Be blessed.
 
Kuwa mtu wa imani, funga na kuomba juu yake, Mungu atakupa jibu na njia sahihi. Be blessed.

Naweza kusema umenipa njia nzuri na rahisi sana kwangu,majibu ndio shida sasa
 
Tyta

Asante Tyta hio ilikua nikweli ila nilizingatia ushauri niliopewa kwamba asingenifaa tena na hata hivyo hakuonekana tena tokea siku ile ndipo nilipoazimia kuwa single mpaka leo hii ila ndio hivyo tena nimenasika
 
Last edited by a moderator:
Ty_Vigilante
Nayo ni njia japo ujmbe unaweza usimfikie vizuri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…