Nipeni dawa ya Miguu kuwaka moto

Nipeni dawa ya Miguu kuwaka moto

Naxria abdalla

Senior Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
173
Reaction score
306
Guys mmeamka vizuri, habari za asubuhi
Naomba nipeni hiyo dawa kuna mtu nimtibie na nyinyi ndio madaktari wangu nawategemea karibuni
 
Miguu kuwaka moto husababishwa na mambo mengi,
Ikiwemo Diabetes,Vitamin deficiencies au ulevi uliopitiliza,
Kuwaka miguu moto ni sign ya nerve damage,

So,ni vizuri zaidi ukamuona Daktari na ukapata vipimo na matibabu yake.
 
Oh sawa ahsante nilijua wanatibiaga kiswahili tu
 
Back
Top Bottom