Nipe pesa kiasi uchukue Laptop safi kabisa.

Lukanka

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
502
525
Nauza Laptop Dell Latitude 13
Ina 4gb ram na 250gb HD
Bei ni 350,000=
Napatikana Mwanza
Mawasiliano: +255 756 551 270.
Karibuni sana.
 
mbona kitanda chako kina mabegi, nguo, laptop, external....? vipi mkuu unahama nini..
 
mbona kitanda chako kina mabegi, nguo, laptop, external....? vipi mkuu unahama nini..
Hapana kaka hilo beg ambalo umeliona ni la computer kuhusu nguo nilikuwa nmefua ss nmeanua na kutupia hapo kitandani.
 
Hapana kaka hilo beg ambalo umeliona ni la computer kuhusu nguo nilikuwa nmefua ss nmeanua na kutupia hapo kitandani.
haaa haa mkuu nkajua unahama assee.... haya pamoja sana na jamvi letu la habari burudani na utani bila kinyongo!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…