Ok mkuuG.P.A sio tatizo mkuu labda ungesema una uzoefu ingekubeba ila uwe unatembelea UTUMISHI ajira.go.tz hapo kuna nafasi zinatangazwa sana za (MNH,MUHAS,ORCI,KCMC,BUGANGO ,UDSM n.k) hutokosa kada yako huwa naona sana Matangazo yake pia ukiwa mvumilivu na juhudi usisahau IFAKARA HEALTH INSTITUTE huwa wanatangaza nao pitia pitia.
Nipo serious lakin!!!"mchongo"!
unatumia lugha za kihuni kwenye ishu siriaz, nan atakuamini kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna member alikuambia utembelee utumishi sijui kama ulitembelea hiyo website www.ajira.go.tz ukafungua account na kujaza details muhimu .... ok kuna kazi TFDA ingawa ya lab analyst wanahitaji bachelor ila kuna hiyo ya Diploma as Assistant Drug inspector inakufaa na deadline ni leo tar 6 September 2018, ukiwa na kasi kabla ya saa sita leo usiku utafanikiwa au utakuwa umejichuja .... NB: Endelea kusubiria mchongo ...LolNina diploma ya laboratory technology toka DIT upper second class 3.6 natafuta kazi kwenye makampun na mashule binafs yaliopo morogoro ,ruvuma au mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mahospitalini utapata kazi haswa kama unaweza kuwa unavifanyia matengenezo vifaa mbalimbali vya hospitalNina diploma ya laboratory technology toka DIT upper second class 3.6 natafuta kazi kwenye makampun na mashule binafs yaliopo morogoro ,ruvuma au mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza DIT mwaka gani!?Nina diploma ya laboratory technology toka DIT upper second class 3.6 natafuta kazi kwenye makampun na mashule binafs yaliopo morogoro ,ruvuma au mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda wizara ya afya, wazee, vijana ziko nafasi rundo kajaribu bahati. Mbona ziko humu jf!Nina diploma ya laboratory technology toka DIT upper second class 3.6 natafuta kazi kwenye makampun na mashule binafs yaliopo morogoro ,ruvuma au mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app