Ndugu, gari unaweza pata ila itakuwa ama ya transit iliyosajiliwa kiuwizi au ya wizi kabisaaa iliyobadilishwa chasisi ikapewa namba ya gari iliyopata ajali gari hiyo ikachinjwa na kadi ikauzwa kwa wezi.
Kuwa mwangalifu. Utapigwa mkenge .
Kodi tu inazidi 4m