nipe 220000,nikupe blackberry 9780...

nipe 220000,nikupe blackberry 9780...

Hiyo ni original au ya kichina?
 
Mkuu bei halisi ya hiyo simu kwa sasa mikononi mwa wadau ni 180,000/= bei ya mwisho kabisa.
Jitafakari ukifikia muafaka sema usikike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom