habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Nakumbusha tuAmani iwe nanyi wakati wte
Hakyanani hivi kwann mada zilizo nyingi zinazoletwa huku niza kukosoa na kunanga wanawake?
Utasikia oooh wanawake wananuka midomo
Wanawake wananucha nyuchi zao
Mara usioe wanawake wanojichubua
Usioe wanawake wanaovaa mawigi, wanofuga kucha, wanopenda kujipaka mapoda Mara suruali
Usioe wanawake waliosoma sana,
Usioe wanawake ambao hawajaenda shule
Wanawake wafupi na kasoro nyingine nyingi mtqongezea huko chini
Shida nini? Ninyi mko kamili sana?
Wanawake nao wakiamua kitema cheche patatosha?
Nalikuwa macho mkuuUmetoka usingizini au ulikua bado haujalala...?
Nilipokosea nirekebishe mkuuMwandiko huo km umekosea kosea
Sio haki mkuu kwanini kila kasoro wao? Tena hamuwaambii kistaarabuMmmh!! Mkuu,kwani umetumwa uwasemee? Au unawashwa washwa?
Mnawarekebisha kwa kauli nzuri isiyo na kuudhi ndani yakeNa kwanini mjichubue sasa..!? Kiukweli hiyo mikorogo yenu mnayo paka inanuka vibaya sana. usiombe ukutane na mdada kachibua kwenye ule mbanano wa magari ya mbagara.. Utatamani ufe kwahiyo harufu
Mkuu kukuchapiwa ni kuchapiwa tu haijalishiNakumbusha tu
Usioe single maza, ni vichwa maji na pasua vichwa
Utachapiwa mpaka