kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,822 Aug 3, 2018 #1 Wataalamu humu?? Ukienda kwenye build number katika setting ya Simu Wanadai wenyewe ukibofya haraka haraka mara 7 unakuwa tayari developer, sasa naomba kujua ukishakuwa huyo developer unaweza kufaidika nini katika matumizi ya simu?
Wataalamu humu?? Ukienda kwenye build number katika setting ya Simu Wanadai wenyewe ukibofya haraka haraka mara 7 unakuwa tayari developer, sasa naomba kujua ukishakuwa huyo developer unaweza kufaidika nini katika matumizi ya simu?
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Aug 3, 2018 #2 https://fieldguide.gizmodo.com/5-reasons-to-turn-on-androids-developer-mode-1788245085 Zipo kazi zaidi ya hizo kwenye link
https://fieldguide.gizmodo.com/5-reasons-to-turn-on-androids-developer-mode-1788245085 Zipo kazi zaidi ya hizo kwenye link
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,281 Reaction score 7,956 Aug 3, 2018 #3 Hii huwa ni special kwa wale wanaodevelop application za sim , mfano Android application
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,318 Reaction score 2,489 Aug 6, 2018 #4 mambo ni mengi sana kama 1. kumock location 2.kuistall TWRP 3.kuflash custom rom n.k
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,330 Reaction score 93,987 Aug 6, 2018 #5 Nipo kuongeza maarifa
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,822 Aug 6, 2018 Thread starter #6 white hat said: mambo ni mengi sana kama 1. kumock location 2.kuistall TWRP 3.kuflash custom rom n.k Click to expand... Mkuu nimetoka zero.. unaweza kudadavua kdg kwa lugha rahis
white hat said: mambo ni mengi sana kama 1. kumock location 2.kuistall TWRP 3.kuflash custom rom n.k Click to expand... Mkuu nimetoka zero.. unaweza kudadavua kdg kwa lugha rahis