Ivo Sabasi IS New Member Joined Mar 1, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Mar 2, 2018 #1 Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"? Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"?
Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"? Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"?
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,260 Mar 2, 2018 #2 Ngoja wenyew waje apa
C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 389 Reaction score 833 Mar 2, 2018 #3 Kwa mbaali naskia harufu ya watu kuingizwa mjini........
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,724 Mar 2, 2018 #4 Isije ikawa DECI nyingine, maana Wabongo kwa kubuni njia za kupata pesa za ujanja ujanja hatujambo...
Isije ikawa DECI nyingine, maana Wabongo kwa kubuni njia za kupata pesa za ujanja ujanja hatujambo...
C commando general Member Joined Jan 13, 2018 Posts 43 Reaction score 26 Mar 2, 2018 #5 Kopa milioni 10,upate bajaj moja bure!akili za kuambiwa changanya na za kwako
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,656 Reaction score 22,443 Mar 2, 2018 #6 Watanzania tumekua wajinga sana. Inasikitisha kuona / kuja kusikia watu wametapeliwa kizembe namna hiyo.
Watanzania tumekua wajinga sana. Inasikitisha kuona / kuja kusikia watu wametapeliwa kizembe namna hiyo.
C chiefkwanza Member Joined Apr 16, 2012 Posts 26 Reaction score 24 Mar 2, 2018 #7 Waongo hao hawana ofisi kigamboni hayo maeneo ndio nakaa mimi hamna kitu kama hicho
taylor9119 JF-Expert Member Joined Nov 4, 2012 Posts 301 Reaction score 489 Mar 2, 2018 #8 Wezi tu hao,usije jaribu mkuu.