Nini tofauti ya hizi course

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
2,572
Reaction score
6,211
Jamani Mdogo angu anataka kusomea ualimu, sasa katika kuangalia hizi course za ualimu nimekutana na hizi course mbili.Naomba kujuzwa tofauti yake na ili aweze kuwa mwalim aombe ipi?
1. Bachelor of Education in Arts
2. Bachelor of Arts with Education
 
Hiyo wa mwanzo yeye mpaka atakufa ni Ualimu tu ila iyo ya pili anaweza kusoma vitu vyengine anapofanya master. Ila siku hizi wanabaniwa
 
Hiyo ya kwanza yaan Bachelor of Education in Arts ( BEd Arts )
~unasomea ualimu (from secondary to university) kwa somo moja tuu la sanaa kutoka ktk tahasusi yako ya Adv. pia ukisoma BEd intension kubwa ni uende kua lecturer siku za usoni ila kikawaida ni ualimu tuu mwanzo mwisho hata ktk second degree yako

Ya pili Bachelor of Arts with Education ( BAEd )
~unasomea ualimu ( from secondary to university) kwa masomi mawili ya sanaa kutoka ktk tahasusi yako ya Adv. ukisoma BAEd intension ni kua mwalimu lkn una nafasi ya kusomea kitu kingine tofauti in your second degree tofauti na education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…