Nini tiba ya maumivu ya bega?

Nini tiba ya maumivu ya bega?

Joined
Dec 18, 2019
Posts
10
Reaction score
5
Habari,
Poleni na majukumu ya kila siku..

Naomba kuuliza eti maumivu katika bega la kushoto kugosheka kama unagosha vidole na kuwa na maumivu makali ni ugonjwa gani au kama mtu aliwahi kuumwa alipona kwa njia gani?

Msaada please

shoulder-pain-ThinkstockPhotos-86520936-1280x960.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki Yangu wa karibu amesumbuka kama wewe Kwa muda mrefu mpaka ikafikia kipindi ikabidi apime moyo kuangalia kama kuna TATIZO lakini moyo ulikuwa hauna shida.
Wiki iliyopita amefanya kipimo cha MRI ndipo TATIZO limeonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom