Nini tafsiri ya picha hii.

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
8,010
Reaction score
7,969
Kazi yeyeto ya sanaa ya Picha ubeba ujumbe Fulani au imani Fulani,sanaa uzungumza sanaa uongea.Hii Picha IPO mitandaoni sijaelewa tafsiri yake ni ipi. Hapo pana Picha ya ng'ombe na risasi ambao imechorwa mfano wa nyumba za nyasi za wafugaji.
 
Mapembe ya hao ng'ombe yamefanana na hii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Kazi yeyeto ya sanaa ya Picha ubeba ujumbe Fulani au imani Fulani,sanaa uzungumza sanaa uongea.Hii Picha IPO mitandaoni sijaelewa tafsiri yake ni ipi. Hapo pana Picha ya ng'ombe na risasi ambao imechorwa mfano wa nyumba za nyasi za wafugaji.
freemason na utawala wakuzimu
 
Kazi yeyeto ya sanaa ya Picha ubeba ujumbe Fulani au imani Fulani,sanaa uzungumza sanaa uongea.Hii Picha IPO mitandaoni sijaelewa tafsiri yake ni ipi. Hapo pana Picha ya ng'ombe na risasi ambao imechorwa mfano wa nyumba za nyasi za wafugaji.
Kwanini uhoji hoji visivyokuhusu wewe?

"Time is a wealthy when it's timed consecutively"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dume wawili wanakamua maziwa kiulaini
Hakuna risasi hapo ni maziwa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…