Kwanza sigara na pombe zina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, karibia kila system ya mwili huathiriwa na vitu hivyo. Kuacha ni bora zaidi.
Ganzi husababishwa na mambo mengi lakini kitaalamu ni kushindwa kwa mishipa ya fahamu kupitisha mawasiliano kama inavyotakiwa.
Dawa: anaeza kutumia neural support ama vitamin B6