Nini siri ya mafanikio.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,305
Habari wana jf.
Wengi wetu tumewahi kuajiri au kuajiriwa. Je ni maswala gani ambayo yakiwepo yanaongeza au kupunguza ufanisi wa kazi? Hasa mbali na mshahara mliokubaliana.Yaani ili ufanye/ufanyiwe kazi kwa ufanisi kabisa ni nini muhimu kizingatiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…